Popular posts from this blog
MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 10 AGOSTI 2026
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE TAREHE 11 AGOSTI 2026
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
MAGAZETI YA LEO TAREHE 06 AGOSTI 2026.
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
TANZANIA KUPATA DOLA MILIONI 41 ZA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
Tanzania kupata dola milioni 41 za uhifadhi wa bioanuwai, kuhimili mabadiliko ya tabianchi Tanzania inatarajiwa kunufaika na takribani Dola za Marekani milioni 41 kupitia madirisha mbalimbali ya ufadhili wa Global Environment Facility (GEF), kwa ajili ya kuimarisha uhifadhi wa bioanuwai, urejeshwaji wa mifumo ikolojia na kujenga ustahimilivu dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi. Hayo yamebainika katika mazungumzo kati ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi na Mratibu wa Bioanuwai wa GEF kwa Afrika, Bw. Jurgis Sapijanskas, yaliyofanyika Nairobi, Kenya, pembezoni mwa mikutano ya SBSTTA-28 na SBI-7 mwishoni mwa wiki. Katika mazungumzo hayo, imeelezwa kuwa takribani Dola za Marekani milioni 16 zimetengwa kupitia dirisha ya GEF – Trust Fund katika Mzunguko wa 9 (GEF-9), huku fursa nyingine zikijumuisha Dola milioni 20 kupitia Mfuko wa Least Developed Countries Fund (LDCF) kwa ajili ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, pamoja na Dola milioni...
BAGAMOYO: MJI WA KIHISTORIA UNAONGOJEA MAPINDUZI MAKUBWA YA KIUCHUMI KUPITIA BANDARI MPYA
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
Na Albert Kawogo BAGAMOYO, mji wenye historia kubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki, unaonekana kuelekea katika sura mpya ya maendeleo ya kiuchumi ikiwa mipango ya ujenzi na uendelezaji wa Bandari ya Bagamoyo itatekelezwa kwa ufanisi. Kwa miaka mingi, Bagamoyo imejulikana zaidi kwa historia yake ya biashara, utamaduni na urithi wa kihistoria. Hata hivyo, mji huo sasa una nafasi ya kuongeza hadhi yake na kuwa moja ya vituo muhimu vya biashara, usafirishaji na uwekezaji nchini Tanzania. Bandsri ya Bagamoyo inatajwa kuwa miongoni mwa miradi yenye uwezo wa kubadili kwa kiasi kikubwa sura ya uchumi wa eneo hilo na kuongeza ushindani wa Tanzania katika biashara ya kimataifa. Kutoka mji wa historia hadi kitovu cha biashara Historia ya Bagamoyo imeifanya kuwa miongoni mwa miji muhimu zaidi katika historia ya Tanzania na Afrika Mashariki. Eneo hilo lilikuwa kituo muhimu cha biashara na lilihusishwa kwa karibu na safari za misafara iliyounganisha maeneo ya ndani ya Afrika na pwani ...
MAAGAZETI YA LEO TAREHE 09 AGOSTI 2026
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA MJI BAGAMOYO NANENANE
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea Banda la Halmashauri ya Mji Bagamoyo katika maonesho ya Nanenane kanda ya mashariki Mkoani Morogoro. Dkt Jakaya amewasalimu Wajasiliamali wote waliokuwa katika Banda na watumushi wote pamoja na kuona bidhaa walizonazo katika maonesho hayo huku akipendezwa na ubunifu wao katika bidhaa zao. Halmashauri ya Mji Bagamoyo imeendelea kuwa washiriki wazuri katika maonesho ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Nanenane kwa kuendelea kuwa wabunifu wa utengenezaji wa Bidhaa mbalimbali kwa kila Mwaka. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea Banda la Halmashauri ya Mji Bagamoyo katika maonesho ya Nanenane kanda ya mashariki Mkoani Morogoro. Dkt Jakaya amewasalimu Wajasiliamali wote waliokuwa katika Banda na watumushi wote pamoja na kuona bidhaa walizonazo katika maonesho hayo huku akipendezwa na ubunifu wao katika bidhaa za...
SAMIA URGES FASTER INFRASTRUCTURE DELIVERY ACROSS AFRICA.
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, has urged African governments to accelerate infrastructure delivery and transform the continent’s economic potential into tangible benefits for its people. Opening the Infra for Africa Forum and the Africa50 General Shareholders’ Meeting today in Dar es Salaam, President Samia said people measure progress through improved services and opportunities, rather than policies and development plans. She cited reliable electricity, efficient ports, modern roads and railways, digital connectivity, and decent jobs as the clearest indicators of meaningful development. The President said stronger infrastructure would enhance Africa’s competitiveness, attract investment, expand intra-African trade, and strengthen economies against global shocks. President Samia said Tanzania is implementing its National Development Vision 2050, which aims to build an inclusive, industrialised economy driven by innovation, sk...
VERONICA MREMA WA TANZANIA AINGIA SITA BORA TUZO ZA ISU ELIHLE 2026 AFRIKA
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
Na Mwandishi Wetu Mtanzania Veronica Mrema , mwanachama wa Mtandao wa Mabloga Tanzania , TBN, anayeendesha jukwaa la kidijiti la M24 TANZANIA MEDIA ni miongoni mwa waandishi wa habari sita waliochaguliwa kuendelea na mchakato wa tuzo za ISU Elihle kwa mwaka 2026 Barani Afrika. Veronica ametajwa katika orodha hiyo baada ya wazo lake la habari kuhusu watoto wanaoishi na ugonjwa wa Siko Seli kupitiwa, na kuonekana ni bora. Jopo la majaji wa tuzo hizo limesema kulikuwa na mawazo 155 ambayo walipokea kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Hatua ya Veronica kutajwa kwenye tuzo hiyo inaongeza rekodi nzuri katika uandishi wa habari za afya na maendeleo na kuiweka Tanzania katika nafasi ya kuendelea kutoa waandishi wa habari wanaotumia kalamu zao kuibua changamoto za watoto na kuchochea mabadiliko yenye manufaa kwa jamii. Kupitia wazo lake lililochaguliwa Veronica atafanya uchunguzi na kuibua simulizi kuhusu mzigo unaoongezeka wa ugonjwa wa Siko Seli miongoni mwa watoto nchin...














Comments
Post a Comment