Mashabiki
wakishangilia kwa nguvu mara baada ya Serengeti Boys kupata magoli katika
kipindi cha kwanza.
Kikundi
cha ushangiliaji cha timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys.
Mchezaji
wa Timu ya Serengeti Boys Mohamed Rashid Abdalla akikokota mpira mbele ya
wachezaji wa timu ya taifa ya Congo Brazaville katika mchezo wa kuwani kufuzu
fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana liofanyika kwenye uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam, mpira umekwisha timu ya Serengeti Boys imeshinda magoli
3-1 dhidi ya Congo Brazaville yaliyofungwa na mchezaji Yohana Mkomola katika
dakika za 40 na 42. goli la tatu la Serengeti Boys limefungwa na Issa Makamba
aliyeingia kipindi cha pili huku Congo Brazaville wakipata magoli mawili.
Mchezaji
wa timu ya Serengeti Boys Israel Mwenda akiruka juu juu na mchezaji wa Congo
Brazaville Moundza Prince wakati mchezo huo ukiendelea kwenye uwanja wa Taifa
jioni hii.
Kikosi
cha timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys.
Kikosi
cha Timu ya Taifa ya Congo Brazaville
Timu
zote mbili wakati zinaingia uwanjani tayari kwa kuza kwa mpambano huo.
Waamuzi
wa mchezo huo wakiongoza vikosi vya Timu ya Serengeti Boys na Congo
Brazaville kuingia uwanjani kwaajili ya mchezo huo
No comments:
Post a Comment