Tuesday, September 20, 2016

AJALI YA BASI LA NE FORCE MKOANI NJOMBE WATU 12 WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 19 KUJERUHIWA

Basi la new force likiwa katika hali mbaya  baada ya kupata  ajali usiku wa kuamkia  leo Septemba 20.
.........................


Ajili hiyo iliyotokea  usiku  wa kuamkia  leo septemba 20, katika eneo la Kifanya Mkoani Njombe, imehusisha Basi  la kampuni ya  New Foece  lenye namba za usajili T  429 DEU na roli  la mizigo ambapo Basi hilo  lilipoteza  muelekeo, Basi hilo  lilikuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Songea.

Kufuatia Ajali  hiyo Rais  wa  Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt.. John  Magufuli amemtumia salamu za rambirambi mkuu wa mkoa wa Njombe na kuwataka ndugu najamaa wa marehemu kuwa na subira katika  kipindi hiki kigumu kwao.
 

No comments:

Post a Comment