Monday, September 12, 2016

DKT. SHEIN AHUTUBIA BARAZA LA EID PEMBA.

pi5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake  kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa  sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
 pi01
Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,ukiongozwa na Mapikipiki ukiingia katika viwanja vya Skuli mpya ya Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo, [Picha na Ikulu.]12/09/2016. pi7

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Maalim Haroun Ali Suleiman leo mara alipowasili katika viwanja vya Skuli mpya ya Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.pi8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisimama katika jukwaa maalum kupokea salamu ya heshma ya kikosi cha Gwaride la FFU Pemba mara alipohudhuria katika  sherehe za Baraza la Eid El Hajj,lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.


pi9
Kikosi cha jeshi la Polisi FFU Pemba wakitoa  salamu ya heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, wakati alipohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.pi2

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume wakati wa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.pi3

Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wananchi wa Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.pi04
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa  sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.pi4

Baadhi ya Akina Mama wa Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.id1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen (katikati) leo alijumuika na maelfu ya Waislamu mbali mbali na Viongozi katika swala ya Eid el Hajj iliyoswalishwa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani BandariniMkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016id2

Baadhi ya waislamu kutoka shehia za Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika swala ya jamaa ya Eid el Hajj iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
 id3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen (kulia) akisalimiana na Watoto baada ya swala ya Eid el Hajj iliyoswalishwa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani BandariniMkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.id4
Wananchi na Waislamu wakisikiliza Hutuba Baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini Pemba leo,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.

No comments:

Post a Comment