Friday, September 16, 2016

WATU TANO WANAODAIWA MAJAMBAZI WAKAMATWA JIJINI DAR ES SALAAM.


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akiwaonyesha waandishi wa habari Bastola aina ya Browning TZCAR No.87881 leo jijini Dar es Salaam.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha Bunduki aina ya Gobole kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akiwaonyesha waandishi wa habari namba za usajili bandia zinazotumiwa na wahalifu kwenye pikipiki.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha magari yaliyoibiwa sehemu mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam 1 kwa waandishi habari jijini Dar es Salaam.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akizungumza na waandishi wa Habari juu opreresheni ambazo zimefanyika na mafanikio yake kupatikana leo.

No comments:

Post a Comment