Tuesday, September 27, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MIEZI MIWILI KWA TPA KUNUNUA MASHINE NNE ZA KUKAGULIA MIZIGO BANDALINI.

ban6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisisitiza jambo  katika chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner) inayoingia nchini  kwenye  bandari ya Dar es salaam leo Septemba 27, 2016.
 jkm1jkm2

No comments:

Post a Comment