Mkuu
wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu kamishna wa Polisi, DCP-Mohamed
Mpinga aliepakiwa na kuonyesha ukaaji salama katika usafiri wa baiskeri
unaotumika kama chombo cha usafiri mkoani Geita ndani ya viwanja vya Ccm
Karangalala katika siku ya Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
yanayoendelea katika wilaya ya Geita mjini mkoani Geita, ,(Picha na Trafiki
kuu).
Mkuu
wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa Polisi, DCP-Mohamed Mpinga akizungumza na
washiriki wa mashindano ya baiskeri katika viwanja vya Ccm Karangalala
yaliofanyika siku ya jana katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
yaliofanyika katika wilaya ya Geita mjini mkoani Geita, ,(Picha na Trafiki kuu).
Kamanda
wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu
Kamishnawa Polisi, DCP- Mohamed Mpinga akizindua mashindano ya
baiskeri katika viwanja vya Ccm Karangalala yaliofanyika jana katika
Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama wilaya ya Geita mjini mkoani
Geita,(Picha na Trafiki kuu)
No comments:
Post a Comment