Friday, September 16, 2016

MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA KOZI NA. 22 MAGEREZA YAFUNGWA.

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akikagua Gwaride la Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kozi Na. 22 ya Mwaka 2016.
 

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akimvisha cheo cha Koplo wa Jeshi la Magereza Askari Mhitimu wa Mafunzo hayo kwa niaba ya wenzake.
 

 Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja(kushoto) katika jukwaa kuu na Mgeni rasmi wakifuatilia maonesho mbalimbali ya kujihami askari kama wanavyoonekana katika picha.
 

Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP – John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi kutoa hotuba yake ya kufunga rasmi kwa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza katika Chuo cha Magereza, Kiwira Mbeya
 

Onesho la kijasiri kama inavyoonekana katika picha ambapo mwendesha pikipiki ameweza kupita kwa juu usawa wa tumbo huku askari hao wakiwa wamejilaza chini bila uoga.
 (Pichazote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

No comments:

Post a Comment