Mkuu
wa Gereza la Tukuyu, Mkoani Mbeya, Mrakibu Mwandamizi, SSP. Prosper Kinyaga
akionesha sehemu ya eneo lenye ekari 26 linaloendesha Kilimo
cha chai katika gereza hilo.
Wafungwa
wa Gereza la Tukuyu, Mkoani Mbeya wakivuna chai katika Shamba la Gereza
hilo kama inavyoonekana katika picha.
Muonekano
wa baadhi ya mashamba ya Kilimo cha chai katika Gereza Tukuyu. Gereza hilo
lilijengwa mwaka 1994 na shughuli zinazofanyika ni Kilimo cha chai, Kilimo cha
Migomba, Bustani za mbogamboga pamoja na Utunzaji wa mazingira kwa upandaji
miti na ufugaji wa samaki kwa majaribio(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).
No comments:
Post a Comment