Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa
na Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Michezo na Maendeleo ya Watoto Mhe. Anes
Musunga mara baada ya kutua katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu Septemba 12, 2016
tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa rais wa sita
wa nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13, 2016 katika uwanja wa
Mashujaa jijini Lusaka
Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
shada la maua mara baada ya kutua katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu Septemba 12,
2016 tayari kwa kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa rais wa sita
wa nchi hiyo Mhe. Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13, 2016 katika uwanja wa
Mashujaa jijini Lusaka
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu Katibu Mkuu Wizara
ya Vijana, Michezo na Maendeleo ya Watoto Mhe. Agnes Musunga mara
baada ya kutua katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda
jijini Lusaka, Zambia, leo Jumatatu Septemba 12, 2016 tayari kwa
kumuwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa rais wa sita wa nchi hiyo Mhe.
Edgar Lungu kesho Jumanne Septemba 13, 2016 katika uwanja wa Mashujaa jijini
Lusaka
No comments:
Post a Comment