Friday, September 23, 2016

WAZIRI MKUU AWASILI MAFIA KUANZA ZIARA YA MKOA WA PWANI.

mafi1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia kwa ziara ya kikazi wilayani humo Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
  mafi2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Pwani baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia  kwa ziara ya kikazi Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 maf3

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika swala ya Ijumaa kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 maf4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia baada ya kushiriki ibada ya swala ya Ijumaa akiwa katika siku ya kwanza na ziara  ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment