Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Hamad Masauni akisalimiana na Askari wa
Uhamiaji katika kituo cha Uhamiaji cha Namanga, Mkoani Arusha wakati
alipokwenda kukagua usalama wa mpaka huo ambapo aliwataka Askari hao kuendelea
kufanya Oparesheni za mara kwa mara ili kuhakikisha hakuna wahamiaji haramu
ambao watapita katika mpaka huo.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Hamad Masauni akitoka kukagua mojawapo
ya ofisi ya Uhamiaji katika mpaka wa Namanga, Mkoani Arusha wakati alipokwenda
kukagua usalama wa mpaka huo ambapo aliwataka Askari wa Uhamiaji katika kituo
cha Namanga kuendelea kufanya Oparesheni za mara kwa mara ili kuhakikisha
hakuna wahamiaji haramu ambao watapita katika mpaka huo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Hamad Masauni akikagua mpaka
wa Tanzania na Kenya (Namanga), Mkoani Arusha wakati alipokwenda kukagua
usalama wa mpaka huo ambapo aliwataka Askari wa Uhamiaji katika kituo cha
Namanga kuendelea kufanya Oparesheni za mara kwa mara ili kuhakikisha hakuna
wahamiaji haramu ambao watapita katika mpaka huo.Katikati ni Mkuu wa kituo cha
uhamiaji Namanga, Abdalah Katimba na Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Arusha, Bw.
Mwakipesile.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani).
No comments:
Post a Comment