Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimkabidhi
Millioni tano Nahodha wa Serengeti Boys Bw. Issa Abdi Makame kama motisha kabla
ya kabla ya mechi ya leo dhidi ya Congo-Brazaville iliyofanyika katika Uwanja
wa Taifa Septemba 18,2016.
Kocha
wa Serengeti Boys Bw. Bw.Bakari Shime akimshukuru Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (Hayupo Pichani) kwa
kuwapa motisha wachezaji kabla ya mechi kati ya Serengeti Boys na Congo-Brazaville
iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Septemba 18,2016.
Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza leo
Jijini Dar es Salaam na wachezaji wa Serengeti Boys katika hafla fupi ya
kuwakabidhi Shilingi Milioni Tano kama motisha kabla ya mechi ya leo dhidi ya
Congo-Brazaville iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Septemba 18,2016.
Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Bw. Jamali Malinzi akitoa maelezo
juu ya maaandalizi ya mechi kati ya Serengeti Boys na Congo-Brazaville
iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Septemba 18,2016.
Kocha
wa Serengeti Boys Bw. Bw.Bakari Shime akimshukuru Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (Hayupo Pichani) kwa
kuwapa motisha wachezaji kabla ya mechi kati ya Serengeti Boys na
Congo-Brazaville iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Septemba 18,2016.
Nahodha
wa Serengeti Boys Bw. Issa Abdi Makame akiahidi kwa Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (Hayupo Pichani)
kuibuka na ushindi dhidi ya Congo-Brazaville katika mechi iliyofanyika katika
Uwanja wa Taifa Septemba 18,2016.
Baadhi
ya wachezaji wa Serengeti Boys wakimsikiliza Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (Hayupo Pichani) katika hafla fupi kabla ya
mechi yao dhidi ya Congo-Brazaville iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa
Septemba 18,2016.
No comments:
Post a Comment