Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akitembelea Bandari ya Dar es salaam leo
Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt
Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akitoka kuangalia sehemu ya kupakulia mafuta kutoka kwenye
meli katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana
na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzii Dkt
Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akitoka kuangalia sehemu ya kupakulia mafuta kutoka kwenye
meli katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016 akiwa ameongozana
na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi i Dkt Leonard Chamriho
na uongozi wa Bandari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kuangalia sehemu ya kupimia kiwango cha mafuta yanayoingia
nchini kutoka kwenye meli (Flow Meter) katika bandari ya Dar es
salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mary Mhayaya
kuhusu chumba cha mitambo ya uthibiti wa kiwango cha
mafuta yanayoingia nchini kutoka kwenye meli (Oil Flow Meter) katika
bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akipata maelezo ya chumba cha ukaguzi wa mizigo (scanner)
inayoingia nchini katika bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26,
2016.
Wafanyakazi wa bandari ya Dar es salaam wakimlaki kwa furaha Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipofika kuongea
nao baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26,
2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam
leo Septemba 26, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam
leo Septemba 26, 2016
Mwenyekiti wa Wafanyakazi wa Bandarini Bw. Mashaka Karume, akieleza baadhi ya
changamoto wanazokabiliana nazo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo
Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Kampuni ya
Ushushaji Mizigo Bandarini ya Tanzania International Container Terminal
(TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya
Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment