Mkuu wa wilaya ya Handeni wa kwanzakushoto akisoma ramani ya
mwaka 2007 akiwa na viongozi na wananchi ili kujua mpaka upo sehemu gani.DC
Gondwe amefanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mpaka uliodumu kwa muda mrefu
akiwa ameambatana na Wakurugenzi wa halmashauri zote mbili uliohusisha Kijiji
cha Kweditilibe cha Handeni vijijini na kitongoji cha makinda kilichopo Handeni
Mji.
RAMANI YA 2007 ndiyo iliyotumika kusuluhisha mgogoro huo ambapo
aliwaeleza wananchi kuwa ramani hiyo
ndiyo iliyotumika kuweka mipaka ya maeneo husika Tanzania nzima na hakuna mwenye mamalaka ya kuibadili isipokua Raisi mwenye mamalaka ya Ardhi ya Tanzania nzima.
ndiyo iliyotumika kuweka mipaka ya maeneo husika Tanzania nzima na hakuna mwenye mamalaka ya kuibadili isipokua Raisi mwenye mamalaka ya Ardhi ya Tanzania nzima.
Mkuu wa wilaya Mh.
Godwin Gondwe akisalimiana na mmoja wa wananchi wa Wilaya ya Handeni kabla ya
zoezi la kutatua mgogoro wa mpaka.
No comments:
Post a Comment