Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na
Wabunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi (katikati) na Fatma Toufiq kwenye
viwanja vya Bunge jijjini Dodoma Januari 28, 2019. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na
Mbunge wa Longido Dkt. Stephen Kiruswa, nje ya jengo la utawata Bungeni jijjini
Dodoma Januari 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment