Ofisa
Mradi wa Mpango wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele, Oscar Kaitaba
akielezea umuhimu wa vyombo vya habari kuelimisha umma kujenga tabia ya
kutumia Kingatiba ya magonjwa ya kichocho, Minyoo ya Tumbo, Usubi Matende
na Mabusha wakati wa Warsha iliyoshirikisha wanahabari, Dar es Salaam leo.
Kampeni ya kuwapatia wananchi Tibakinga kwa wakazi takribani mil. 4 wa Jiji la
Dar es Salaam itaanza Oktoba 25 waka huu.
Meneja
Mradi wa Mpango wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele, Upendo Mwingira
akifafanua jambo wakati wa warsha hiyo.
Wanahabari
wakiwa katika warsha hiyo
Mtangazaji
wa BBC, Halima Kassim akitafakari jambo kuhusu semina hiyo ya wanahabari
kupata uelewa kuhusu magonjwa hayo na jinsi ya kuwaelimisha wananchi kutumia
Kingatiba kwa kumeza dawa mara noja kila mwaka ili kuboresha afya
Mtaalamu
Kaitaba akionesha baadhi ya dawa za Kingatiba ya magonjwa hayo
Ofisa
Habari wa Mradi huo, Said Makora akiwataka wanahabari kuwaelimiasha wananchi
juu ya magonjwa hayo na jinsi ya kupata Kingatiba kwa kuandika makala, habari,
majarida na kutumia mitandao ya kijamii kwa nia ya kuyatokomeza magonjwa hayo
kufikia mwaka 2020.
Kaitaba
akionesha vifaa vinavyotumika kuwapima watu ili wapewe dawa kulingana na kimo
chake.
Mwandishi
wa Habari wa Nipashe, Jasmin akichangia mada wakati wa semina hiyo.
Wana
habari wakipatiwa dawa za Kingatiba za magonjwa hayo
Mtangazaji
wa E FM Radio akipimwa urefu ndipo apatiwe dawa
No comments:
Post a Comment