Thursday, October 13, 2016

DKT. DIDAS MASABULI AFARIKI DUNIA.

image.jpeg
Aliyewahi kuwa Meya wa jiji la Dar es Salaam na Mbunge wa Afrika Mashariki, Dkt. Didas Masaburi amefariki dunia usiku wa kumakia leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Taarifa za awali zinasema msiba utakuwa nyumbani kwake Segerea jijini Dar es Salaam.

Innaa lillaah Wa innaa ilayhi Rajiuun.

No comments:

Post a Comment