Monday, October 24, 2016

RAIS DK. MAGUFULI AMPOKEA MFALME VI WA MOROCCO IKULU, ZAIDI YA MIKATABA 20 YA KIBIASHARA YASAINIWA

1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakielekea kusalimiana na viongozi mbalimbali wakati Mfalme huyo alipowasili kwenye viwanja vya Ikulu.
 jc1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakipita katika gadi ya mapokezi iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 jc2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakilakiwa na wafanyakazi pamoja na wageni mbalimbali katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.2

Mfalme wa Morocco Mohamed VIakisalimiana na viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakati alipowasili kwenye  viwanja vya Ikulu ambapo amepokelewa na Mwenyeji wake Rais Dk. John Pombe Maguful.



No comments:

Post a Comment