KKKT DAYOSISI YA IRINGA YAPATA ASKOFU MPYA

Askofu  wa kanisa la  kiinjili la  Kilutheri  Tanzania (KKKT)  dayosisi
ya  Iringa Dkt  Owdenburg Mdegela katikati  akiwatambulisha  mbele ya
waumini wa kanisa  kuu  askofu  mteule wa dayosisi  hiyo mchungaji
Blaston  Gavile wa  pili kushoto  na mkewe  pamoja na msaidizi wa askofu huyo mchungaji Himid Saga  wa pili  kulia na mkewe.
 

Askofu wa Dododa Mwamasika kushoto  akiwa na askofu mteule wa  dayosisi ya  Iringa Blaston Gavile na mkewe wakimsikiliza askofu wa dayosisi  hiyo Dkt Mdegela
 

Katibu  wa dayosisi ya Iringa Chavala  kulia  akimfuatilia kwa makini askofu wa Dodoma
 

Mchungaji wa usharika wa kanisa  kuu  Mbogo  akiweka sawa  mic
 

Askofu  wa  doyosisi ya  Iringa Dr Mdegela  kulia  akimtambulisha rasmi askofu mteule wa dayosisi hiyo mchungaji Blaston Gavile na mkewe mbele ya  waumini wa kanisa kuu leo
 

Mmoja  wa  wageni  akimpongeza askofu dkt Mdegela  kwa kufanya uchaguzi wa  kihistoria
 

Askofu Dkt Mdegela  akihoji  jambo kwa  mwimbaji wa kwaya ya vijana Onno Mella

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.