Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Majidi Hemedi Mwanga,
mwenye miwani, alipoingia shule ya msingi Mwetemo ghafla ili kukagua mahudhurio
ya walimu na wanafunzi
Mwalimu mkuu msaidizi shule yamsingi Mwetemo, akitafuta
kitabu cha mahudhurio ya walimu ili amuonyeshe mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kulia alipotembelea
shule hiyo ghafla.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo akiangalia kitabu cha
mahudhurio ya walimu katika shule ya msingi
Mwetemo
Mkuu wa wilaya ya
Bagamoyo, Majidi Mwanga akitoka
katika chum ba cha wanafunzi wa darasa la kwanzashule ya msingi Mwetemo.
Mwalimu Aboubakari Omari Juma wa shule ya msingi
Mwetemo, akimuaeleza mkuu wa wilaya namna anavyowafundisha wanafunzi kilimo.
Mkuu wawilaya ya Bagamoyo,Majidi Mwanga
akikagua shamba darasa katika
shule ya msingi Mwetemo.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo akiondoka katika shule
ya msingi Mwetemo mara baada ya kufanya
ukaguzi wa kushtukiza, kushoto ni mwalimu mkuu wa shule hiyo Hassani Magoto.
Mkuu wa
wilaya ya bagamoyo Majidi Hemedi Mwanga akiwasili katika shule ya msingi
Mbwewe.
Mkuu wa wilaya
ya Bagamoyo Majidi Mwanga akikagua Daftari la mwanafunzi mtoro katika
shule ya msingi Mbwewe.
Hebu niambie kwanini unakuwa mtoro? wa shule, mkuu wa wilaya Majidi
Mwanga alimuuliza mwanafunzi huyo ambae
ni mtoro.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Majid Mwanga
akiwasikiliza wananfunzi watoro katika shule ya msingi Mbwewe ili kuona namna ya kuwasaidia waachane
na utoro, kushoto ni mkuuwa shule hiyo Iddi Mkila.
No comments:
Post a Comment