Mkuu wa wilaya ya Muheza,Haja Mhandisi,Mwanasha Tumbo katika
akiongozwa na Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi na Mwenyekiti wa Serikali
ya Kijiji cha Zeneti wakitembelea Jengo jipya la Zanahati ya Zeneti
iliyojengwa kwa ushirikiana baina ya Halmashauri,Wananchi na Shirika la World
Vision na Mbunge wa Jimbo hilo ambalo limegharimu kiasi cha milioni 35.2.
Kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Muheza,Mathew Mganga
akimuongozwa Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyetembelea
zahanati ya Zeneti kuona jinsi inayoendelea na ujenzi wake kushoto ni
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Zeneti
Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mathew Mganga kulia akisisistiza
jambo kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kutoka
kushoto kuhusu ujenzi wa zahanati hiyo katikati ni Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid
Mdachi.
Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya
ya Muheza,Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kulia
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati
akisisitiza jambo kwa Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi.
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati
akiangalia baadhi ya vyoo vya Zahanati hiyo wakati alipoitembelea kuikagua na
kuona namna ujenzi wake unavyoendelea.
Diwaniwa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi akizungumza na wananchi
katika ziara hiyo ya Mkuu wa wilaya katika Zahanati ya Kijiji cha Zeneti
No comments:
Post a Comment