Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel
F.Kigeda wakati alipofika kuufungua Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge
la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.]
11/10/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel
F.Kigeda mara alipowasili katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa
kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki leo katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,(katikati) Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir ali Maulid,[Picha na Ikulu.]
11/10/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel
F.Kigeda(kulia) na Spika wa Baraza l;a Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali
Maulid (kushoto) baada ya Kuufungua Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge
la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Baadhi
ya Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa
hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha
Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.]
11/10/2016.
Baadhi
ya Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa
hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha
Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.]
11/10/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao
cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.]
11/10/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati
alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao
cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.]
11/10/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto
mbele) Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel F.Kigeda(katikati
mbele) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi (kulia mbele) na
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid,wakisimama pamoja
na Wabunge wa Bunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki,wimbo wa Taifa nchi za
Jumuiya ukipigwa baada ya kumalizika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao
cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.]
11/10/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mbunge Shrose Bhanji mara baada ya ufunguzi
wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki
uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya
Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana
na Wabunge mbali mbali wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya
ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika
Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani
Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
No comments:
Post a Comment