Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Mh. Majidi Mwanga, akiwa na mtoto aliyefika Kliniki katika Zahanati ya Mapin ga mapema hii leo, ambapo mtoto huyo alizawadiwa shilingi elfu kumi na mkuu wa wilaya.
Kulia ni Daktari wa Zahanati ya Mapinga, Shabani akielezea baadhi ya
changamoto zilizopo katika zahanati hiyo
mapema hii leo mara mkuu wa wilaya
alipotembelea ghaflaili kubaini watumishi
watoro na kuangalia utoaji wa huduma kwa ujumla.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Mh. Majidi Mwanga
akipata maelezo kutoka kwa Nesi wa
zahanati ya Mapinga mapema hii leo
alipotembelea ghafla.
Daktari Shabani wa Zahanati ya Mapinga
akimuonyesha mipaka ya zahanati hiyo
mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Mh. Majidi Mwanga mara alipotembelea ghafla katika zahanati hiyo
mapema hii leo
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo akiwa katika Zahanati
ya Kerege mapema hii leo mara alipofanya
ziara ya kushtukiza illi kuona
utendaji kazi katika zahanati hiyo, kulia ni Daktari Asha
wa zahanati hiyo
Daktari Asha wa zahanati ya kerege akimuonyesha mkuu wa wilaya kitu
katika zahanati hiyo maraalipotembelea ghafla mapema hii leo
No comments:
Post a Comment