Wanafunzi wa shule ya SirajulMunir Kiwangwa
wakipata ufafanuzi namna chumvi inavyozalishwa mara walipotembelea katika
eneo la kuzalisha Chumvi Bagamoyo
Walimu na wanafunzi wa Sirajulmunir kiwangwa
wakifuatilia kwa karibu maelezo kutoka
kwa mtaalamu wa uzalishaji chumvi katika moja ya maeneo yanayozalisha chumvi
Bagamoyo wakati shulehiyo ilipofanya ziara ya kimasomo.
Wanafunzi wa Sirajulmunir Kiwangwa wakiangalia
mabwawa ya kuzalisha Chumvi wakati walipokuwa katika ziara ya kimasomo.
Chumvi ikiwa tayari kwa kupakiwa
Chumvi ikiwa tayari kwa kupakiwa
Wanafunzi wa SirajulMunir kiwangwa wakiwa na
walimuwao katikaeneo la kaole walipokuwa katika ziara ya kimasomo.
Wanafunzi wa SirajulMunir Kiwangwa wakiwa katika
eneo la Kaole walipofanya ziara ya kimasomo kutembelea maeneo ya kihistoria
ndani ya mji wa Bagamoyo.
Wanafunzi wa shule ya SirajulMunir Kiwangwa
wakiwa katika eneo la makaburi ya kal e eneo
la kaole ili kujua mambo mbalimbali yanayohusu Historia walipokuwa
katika ziara yakimasomo.
Wanafunzi wa shule ya SirajulMunir Kiwangwa
wakiwa katika nyumba ya makumbusho ambayo ndani yakekuna vitu mbalimbali
vilivyokuwa vinatumika zamani
Waliweza kutembelea eneo linalofugwa Mamba
Kaoleili kujionea Mamba wenye umri tofauti tofauti.
..........................................
Jamii imetakiwakujenga tabia ya kutembelea maeneo
yakihistoria ili kuweza kupata mazingatio kutokana na yale yaliyokuwepo zamani.
Wito huo umetolewa na Naibu Amiri wa Taasisi ya
SirajulMunir Islamic center SIMICustadhi fadhilihaji alipokuwa ameambatana
wanafunzi wa shule sirajulmunir kiwangwa katika ziara ya kimasomo.
Amesema kwenye historia kuna mazingatio mengi
ambayo binsdsmu snsweza kuyapata pindi anapotembelea maeneo hayo na kupata
maelezo yalikuwa sahihi juu ya historia ya kitu husika.
Taasisi ya SirajulMunir Islamic Center (SIMIC)
yenye maka yake makuu Majani mapana mjini Bagamoyo, inamiliki shule mbili za
msingi ambazo ni SirajulMunir English Medium Pre and Pimary, Bagamoyo iliyopo
kata ya Nianjema Halmashauri ya Bagamoyo, na SirajulMunir kiwangwa English
Medium iliyopo kata ya Kiwangwa katika Halmashauri ya Chalinze, ambapo shule
zote mbili zimesajiliwa kwa mujibu wa sheria.
No comments:
Post a Comment