RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WILSON MASILINGI NA PHILIP MARMO PAMOJA NA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI GEORGE WAITARA

122
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016.
 fsdfsfdsfd
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016.
 unnamed2fsfsfs
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016
 1FSGSHXH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016
 unnamed-1
 unnamed-2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo baada ya kupokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016, PICHA ZOTE NA IKULU.

Comments

Popular posts from this blog

MATOKEA DARASA LA SABA 2018 HAYA HAPA.

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AUNGURUMA PWANI ASEMA DHAMIRA KUBWA YA CCM NI KUWAHUDUMIA WANANCHI

HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017.

TAKUKURU MKOA WA PWANI YAFANIKIWA KUOKOA ML.29 KUTOKA KWA WAKUSANYA USHURU WILAYA YA MAFIA

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2016 HAYA HAPA

CCM YAKERWA NA WATUMISHI WASIOJALI WANANCHI