Friday, October 14, 2016

MKOA WA PWANI WAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NTERERE KWA USAFI.

v2
Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo akichoma uchafu moto Mara baada ya kufanya usafi katika kituo cha afya  mkoani ikiwa ni kumuenzi hayati mwalimu Nyerere tangu afariki dunia miaka 17 iliyopita.
 v1

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama akifyeka wakati wa kufanya usafi ambapo mkoa wa Pwani uliadhimisha kilele cha mbio za mwenge na kumuenzi hayati mwalimu Nyerere kwa kufanya usafi kituo cha afya Mkoani.
 v4

Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza na baadhi ya watumishi na watendaji wa mkoa na wilaya ya Kibaha katika kituo cha afya  Mkoani baada ya kufanya usafi kumuenzi hayati mwalimu Nyerere na kilele cha mbio za Mwenge.

PICHA NA MWAMVUA MWINYI.


No comments:

Post a Comment