Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki balozi
Augustine mahiga amesema ushirikiano wa Tanzania na umoja wa mataifa (UN)
wataendeleza ulinzi wa amani katika mataifa mbalimbali kama wanavofanya
kwa Sudan ya kusini.
Akizungumza katika hafla ya kusherehekea miaka 71 ya umoja huo jijini Dar es salaam , balozi Mahiga amewataka Vijana nchini kuchangamkie fursa za ajira zinazopatikana katika umoja huo.
Amesema mikakati wanayoiweka kwenye suala la ujenzi wa viwanda litasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa Vijana wanaomaliza masomo yao katika vyuo mbalimbali nchini.

"siasa yetu ya kutofungamana
katika upande wowote itazidi kuboresha misingi ambayo itaendelea
kuheshimiwa ikiwa ni pamoja na utu' haki za binadam.
Amesema mikakati wanayoiweka kwenye suala la ujenzi wa viwanda litasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa Vijana wanaomaliza masomo yao katika vyuo mbalimbali nchini.
Ameongeza kuwa suala la amani na ulinzi vitaendelea kudumishwa ikiwamo na Vijana walioko mashuleni kuendelea kufundishwa ili waweze kuelewa umoja wa mataifa kwa undani.
Sherehe za miaka 71 za umoja wa mataifa zimehudhuliwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa huku suala la ulinzi ' pamoja na amani likiwa limepewa kipaumbele kwa mataifa mbalimbali.
No comments:
Post a Comment