Kampuni ya simu nchini, TECNO imedhamini
mashindano ya wanafunzi wanaojifunza lugha na tamaduni za kichina katika chuo
kikuu cha mlimani kwa kushirikiana na taasisi ya Confucius iliyopo chuoni hapo.
Mashindano hayo yamefanyika katika ukumbi
wa chuo uliopo katika jingo jipya la library iliyojengwa kwa udhamini wa watu
wa china, yalishirikisha takribani washiriki kumi na mbili ambapo wote walikua ni wanafunzi wa chuo kikuu cha mliman.
Akizungumza wakati wa mashindano hayo
meneja mahusiano, bwana Eric Mkomoye alisema kua TECNO imesaidia kuwapa nafsi vijana wa ktanzania
wanaotamni kutimiza ndoto zao kupitia kujifunza tamaduni za nchi
nyingine hasa katika kukuza taaluma zao pia kuweza kuwasiliano na watu wa
mataifa mbalimbali, aliendelea kwa kusema
kampuni yao pamoja na taasis ya Confucius wametoa zawadi mbalimbali
ikiwemo simu aina ya spark 3 pia safari
ya kwenda nchii china kujifunza zaidi kw awashiriki washindi wawili.
Mashindano ya kuongea kichina katika chuo
kikuu cha mlimani hua yanfanyika kwa usimamizi mkubwa wa taasisi ya Confucius iliyoanzishwa
mwaka 2013 kwa makubaliano kati ya chuo kikuu cha mlimani na makao makuu ya
taasisi ya Confucius yaliyopo Hanban na Zhejiang yakihudhuriwa na makamu wa chuo
kikuu cha mlimani Prof. Rutinwa , mkuu
wa utamaduni kutoka ubalozi wa China bwana
Gao Wei.
Mwaka jana na mwka huu TECNO mobile imedhamini
mashindano haya na kuyaboresha kwa kuongeza
zawadi kwa washindi, washiriki na hata wahudhuriaji kwa njia
ya bahati nasibu,
Kampuni ya TECNO kwa sasa inayotangaza
simu yake mpya aina ya TECNO Spark
3 imeeendlea kudhamini matukio
mbalimbali yanayohusu jamii hasa katika kukuza vipaji vya vijana wa
kitanzania na kufanikisha ndoto zao kupitia majukwaa mbalimbali ikiwemo ile
maarufu ya kua shujaa wangu.
No comments:
Post a Comment