![]() |
Sheikh Nurdini Kishiki akizungumza mara baada ya swala ya Eid el fitri leo katika viwanja vya Mbagala zakiem jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Waislamu wakiwa katika viwanja vya Mbagala zakiem leo kwaajili ya swala ya Eid elftri. |
![]() |
Sehemu ya waislamu waliohudhuria ibada ya swala ya Eidi leo Jumatano 06/07/2016 |
![]() |
Katika viwanja vya Magala zakiem jijini Dar es Salaam waislamu walitekeleza swala ya Eid el fitri leo. |
No comments:
Post a Comment