Wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya nne, kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, wapili kushoto ni mkuu wa wilaya ya Kilindi, Mwl. Sauda Mtondoo, wa tatu ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, ambae ndiye Mwenyekiti wa mkutanohuo, na wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Mvomero.
|
Wajumbe wamkutano wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya nne ambazoni Bagamoyo, Mvomero, Kilindi,na Handeni,wakiwa katika ukumbi wa Halmashauri ya Bagamoyo |
|
Wajumbe wa mkutano wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya nne wakifuatilia mkutano huo leo Tarehe 29 Julai 2016 |
|
Wajumbe wa mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa Halmashauri ya Bagamoyo wakifuatilia mkutano |
|
Meneja Wakala wa Hifadhi za Misitu Tanzania TFS wilaya ya Bagamoyo, Charles Mwafute, akiwasilisha mada katika mkutano huo wa kujadili namna ya kuwaondoa wavamizi wa msitu wa Zigua. |
|
Katikati, ni Mwenyekiti wa mkutano huo mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Majid Hemed Mwanga, kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze, Saidi Zikatimu, wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, wa tatu ni Mkuu wa wilaya ya Kilindi, Sauda Mtondoo, Kutoka kulia wakwanza ni Meneja waTFS kanda ya Mashariki, Dr. Masota Abel, wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo, Aliy Aliy na wa watatu ni ni mkuu wa wilaya ya Mvomero, Mwl. Mohamed Utaly |
No comments:
Post a Comment