Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Nape Nnauye, akizungumza na Aliyekuwa mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa
(kushoto) wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mpigapicha mkuu wa Gazeti la
Tanzania Daima, Joseph Senga, katika Viwanja vya Vatican Sinza, Dar es Salaam,
jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema),Freeman Mbowe na Mjumbe wa chama hicho,Khamis Mgeja.
Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe,akizungumza
katika viwanja hivyo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Joseph Senga
Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe,akizungumza
katika viwanja hivyo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Joseph Senga
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Nape Nnauye, akitoa salamu za pole kwa niaba ya serikali katika viwanja vya
Vatican Sinza Dar es Salaam,leo
Mbunge wa Jimbo la Sumve,Richard Ndasa,akitoa
heshima za mwisho
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema),Freeman Mbowe, akiinamisha kichwa chini kama ishara ya kutoa heshima
za mwisho katika jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la
Tanzania Daima,Marehemu Joseph Senga katika viwanja vya Vatican Sinza,Dar es
Salaam leo.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),
Innocent Mungy, akitoa heshima za mwisho.
Mhariri wa Gazeti la Championi, Salehe
Ally, (mwenye tisheti nyeupe) akitoa heshima za mwisho
Mhariri wa Gazeti la Raia Tanzania,Joseph Rupia
Beda akitoa heshima za mwisho
Mwandishi Mwandamizi wa Gazeti la Tanzania
Daima,Ibrahim Yamola,akitoa heshima za mwisho
Mmiliki wa Blog ya Sufian Maphoto,Sufian Muhidin,
akitoa heshima zake
za mwisho
Mpiga picha wa Channel Ten, Khamis Suleiman
akitoa heshima za mwisho
Mpigapicha wa Gazeti la Tanzania Daima,Francis
Dande,akitoa heshima za mwishoo
picha zote na Elisa Shunda.
No comments:
Post a Comment