Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya
uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali, na pia amewapandisha
vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania.
Uteuzi huo ni kama
ifuatavyo;
1.
Mhe.
Augustino Lyatonga Mrema.
·
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi
ya Taifa ya Parole kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia leo tarehe 16 Julai,
2016.
·
Mhe. Augustino Lyatonga Mrema
anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia Nicholaus Munuo
ambaye muda wake umemalizika.
2.
Prof.
William R. Mahalu
·
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi
ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai,
2016.
3.
Prof.
Mohamed Janabi
·
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji
wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
4.
Prof.
Angelo Mtitu Mapunda
·
Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya
Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15
Julai, 2016.
5.
Bi.
Sengiro Mulebya
·
Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya
Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15
Julai, 2016.
6.
Bw.
Oliva Joseph Mhaiki
·
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume
ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
7.
Mwl.
Winifrida Gaspar Rutaindurwa
·
Ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya
Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
8.
Dkt.
Charles Rukiko Majinge
·
Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi
ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16
Julai, 2016.
9.
Dkt.
Julius David Mwaiselage
·
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji
wa Hospitali ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Uteuzi huu umeanza tarehe 15
Julai, 2016.
Kupandishwa Vyeo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa 25 wa Jeshi la Polisi kutoka
cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kuwa Naibu Kamishna
wa Polisi (DCP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
1. Essaka
Ndege Mugasa
2. Adamson
Afwilile Mponi
3. Charles
Ndalahwa Julius Kenyela
4. Richard
Malika Revocatus
5. Geofrey
Yesaya Kamwela
6. Lucas
John Mkondya
7. John
Mondoka Gudaba
8. Matanga
Renatus Mbushi
9. Frasser
Rweyemamu Kashai
10. Ferdinand Elias Mtui
11. Germanus Yotham Muhume
12. Fulgence Clemence Ngonyani
13. Modestus Gasper Lyimo
14. Mboje John Shadrack Kanga
15. Gabriel G.A. Njau
16. Ahmed Zahor Msangi
17. Anthony Jonas Rutashubulugukwa
18. Dhahir Athuman Kidavashari
19. Ndalo Nicholus Shihango
20. Shaaban Mrai Hiki
21. Simon Thomas Chillery
22. Leonard Lwabuzara Paul
23. Ahmada Abdalla Khamis
24. Aziz Juma Mohamed
25. Juma Yussuf Ally
Aidha, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wa
Jeshi la Polisi wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na
kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni
kama ifuatavyo;
1. Fortunatus
Media Musilimu
2. Goyayi
Mabula Goyayi
3. Gabriel
Joseph Mukungu
4. Ally
Omary Ally
5. Edward
Selestine Bukombe
6. Sifael
Anase Mkonyi
7. Naftari
J. Mantamba
8. Onesmo
Manase Lyanga
9. Paul
Tresphory Kasabago
10. Dadid Mshahara Hiza
11. Robert Mayala
12. Lazaro Benedict Mambosasa
13. Camilius M. Wambura
14. Mihayo Kagoro Msikhela
15. Ramadhani Athumani Mungi
16. Henry Mwaibambe Sikoki
17. Renata Michael Mzinga
18. Suzan Salome Kaganda
19. Neema M. Mwanga
20. Mponjoli Lotson
21. Benedict Michael Wakulyamba
22. Wilbroad William Mtafungwa
23. Gemini Sebastian Mushi
24. Peter Charles Kakamba
25. Ramadhan Ng'anzi Hassan
26. Christopher Cyprian Fuime
27. Charles Philip Ulaya
28. Gilles Bilabaye Muroto
29. Mwamini Marco Lwantale
30. Allute Yusufu Makita
31. Kheriyangu Mgeni Khamis
32. Nassor Ali Mohammed
33. Salehe Mohamed Salehe
34. Mohamed Sheikhan Mohamed
Maafisa
hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania wamepandishwa vyeo kuanzia tarehe 15 Julai,
2016.
Gerson
Msigwa
Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar
es salaam
16
Julai, 2016
No comments:
Post a Comment