Wednesday, July 13, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NONDO KILICHOPO KIBAHA MKOANI PWANI.





Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu) akipata maelekezo toka kwa mtaalamu wa michoro wa kampuni ya Kiluwa Steel Group Ltd. wakati Waziri Mkuu alipotembela kiwanda hicho jana Kibaha, mkoani Pwani. 


Mkurgenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Nondo na bidhaa za chuma cha Kiluwa Steel Group Ltd. akitoa maelekezo kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu)wakati Waziri Mkuu alipokitembelea kiwanda hicho jana Kibaha Mkoani Pwani.
  
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu) akisalimiana na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage mara tu Waziri Mkuu alipowasili katika kiwanda cha nondo na bidhaa za vyuma cha Kiluwa Steel Group Ltd.kinachoendelea na ujenzi Kibaha Mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment