Mkuu wa wilaya ya
Muheza Mkoani Tanga, Hajat, Mhandisi Mwanaisha Rajab Tumbo, kulia akizungumza na
wafanyabiashara wa samaki katika soko la kuuzia samaki wabichi na wakavu ambalo
limevunjwa na kutakiwa kuhamia kwenye soko la michungwani
Mkuu wa wilaya ya
Muheza Mkoani Tanga Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akimsikiliza mmoja wa
wafanyabiashara ya samaki katika soko la kuuzia samaki wilayani humo ambao
waliamuriwa kuhamia kwenye soko la Michungwani
No comments:
Post a Comment