OFISI YA RAIS, UTUMISHI NA UTAWALA BORA, YAMPONGEZA NDEJEMBI.

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,  Mhe.  Rdhiwani Kikwete na Ofisi yake, wampongeza Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais na kuandika ujumbe huu.


Salamu nyingi za pongezi na Dua njema toka kwangu Binafsi na Menejiment nzima ya Ofisi ya Rais , Utumishi na Utawala Bora  kuja kwako Mh. Deo Ndejembi, Makamu wa Rais wa JMT katika siku hii muhimu Unapoapa kuanza kazi kubwa ya kuisaidia Nchi yako na kumsaidia Mh. Rais kutimiza ahadi zake za Ilani kwa Watanzania.



Ahadi yetu ni ushirikiano mkubwa na kuchapa Kazi kwa kiwango kikubwa sana. Kazi na utu Tunasonga mbele

Kazi iendelee

Comments

Popular posts from this blog

WATUMISHI WA AFYA KAGERA WAFANYA ZOEZI LA UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

RAIS DKT. SAMIA AKIWA PAMOJA NA MAKAMU WA RAIS DEOGRATIUS NDEJEMBI.

SHAIBU NDEMANGA, AFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA.

RAIS, DKT. SAMIA, ARIDHIA KUJIUZULU MAKAMU WA RAIS.

SAMIA: MAULID ITUKUMBUSHE KUISHI KWA UPENDO NA AMANI

MAKAMU WA RAIS AWASALIMU WANANCHI WA CHAMWINO