RAIS, DKT. SAMIA, ARIDHIA KUJIUZULU MAKAMU WA RAIS.

 

RAIS, DKT. SAMIA, ARIDHIA KUJIUZULU MAKAMU WA RAIS.


Kufauatia kusambaa kwa Taarifa ya kujiuzu Makamu wa Rais Dkt. Emanuel Nchimbi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameridhia ombi la kujiuzulu kwake.


Katika Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu kiongozi leo tarehe 25 Agosti 2026, imesema taratibu za kikatiba za kumpata Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwingine zitachukuliwa.


Mapema hii leo tarehe 25 Agosti 2026 zimesambaa taarifa ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi.



Comments

Popular posts from this blog

LISU AKUTWA NA KESI YA KUJIBU.

BAKWATA YATANGAZA SIKUKUU YA MAULIDI NI TAREHE 25 AGOSTI 2026

WATU 16 JELA KWA MAKOSA YA WIZI, UBAKAJI.

SAMIA: MAULID ITUKUMBUSHE KUISHI KWA UPENDO NA AMANI

NEEMA YAWASHUKIA WAKULIMA WA TUMBAKU

KISARAWE YAJA NA SULUHU MAHITAJI YA BARUTI, VILIPUZI NCHINI

MATOKEA DARASA LA SABA 2018 HAYA HAPA.

KAMPUNI YA ALGERIA KUWEKEZA VIWANDA VYA KOROSHO TANZANIA.