KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA MJI BAGAMOYO NANENANE

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea Banda la Halmashauri ya Mji Bagamoyo katika maonesho ya Nanenane kanda ya mashariki Mkoani Morogoro.

Dkt Jakaya amewasalimu Wajasiliamali wote waliokuwa katika Banda na watumushi wote  pamoja na kuona bidhaa walizonazo katika maonesho hayo huku akipendezwa na ubunifu wao katika bidhaa zao.

Halmashauri ya Mji Bagamoyo imeendelea kuwa washiriki wazuri katika maonesho ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Nanenane kwa kuendelea kuwa wabunifu wa utengenezaji wa Bidhaa mbalimbali kwa kila Mwaka.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.