Sunday, August 9, 2026

MADIWANI WA BAGAMOYO KWENYE KILELE CHA NANENANE 2026.

 

Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo, Wakiwa katika Banda la Halmashauri ya Bagamoyo walipotembelea kukagua bidhaa mbalimbali katika Banda hilo kwenye Kilele cha Maonesho ya Nanenane 2026 Kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro.










No comments:

Post a Comment