ASKARI POLISI WAWILI WAFARIKI KWA KUGONGWA NA GARI PWANI.
Askari wawili wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari katika kivuko cha watembea kwa miguu (zebra) mailimoja Kibaha.
Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa Wa Pwani, askari hao waliofariki ni Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa






Comments
Post a Comment