RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA MAASKOFU WA TEC.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.






Comments
Post a Comment