Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Shaibu Issa Ndemanga ametembelea Banda la Halmashauri ya Mji Bagamoyo katika kilele cha maonesho ya nanenane kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro.
Mhe Ndemanga amekagua na kuona bidha pamoja na vipando katika Banda hilo na kutoa pongezi kwa watalamu pamoja na wajasiriamali kwa kutoa elimu kwa wageni walio tembelea banda hilo.
Aidha Mhe Mkuu wa Wilaya ametoa pongezi kwa wajasiriamali kwa kuboresha bidhaa zao kwa kuzifanya ziwe na muonekano Mzuri na wenye kuvutia kwa wateja.















No comments:
Post a Comment