Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo
ametangaza neema kwa wakazi wa Nyakasangwe na Nakalekwa kwa kuwapatia hati za
viwanja na kurasmishwa rasmi.
Mh. Chongolo ametangaza amesema hayo wakati alipozungumza na waandishi wa habari habari hiyo njema kwa wananchi hao wa Nyakasangwe na Nakalekwa eneo ambalo lipo katika Wilaya ya Kinondoni kata ya Wazo jimbo la Kawe.
”Ninachokitangaza rasmi leo ni kwamba, tumefungua zoezi la ugawaji ama utowaji hati kwa wakazi wa maeneo hayo.”Amesema Mh. Daniel Chongolo.
Aidha ameongeza kuwa eneo hilo lilikuwa na mgogoro wa muda mrefu wa zaidi ya miaka 12, na mgogoro huu umeweza kugharimu maisha ya baadhi ya ndugu zetu na pia kusababisha uhasama wa kimakundi.
”Sasa tunatoa fursa na nafasi kwa wananchi wale ambao wapo kwenye yale maeneo na walitambuliwa wakati wa zoezi la utambuzi tunawarasimisha kwa kuwapatia hati, jana nimefanya mkutano huko na wananchi na tumekubaliana yafuatayo”
”Kuanzia Jumanne tunafungua dawati la maafisa wa Wizara, Nida, Halmashauri pamoja na Wataalamu waliyohusika katika zoezi la upimaji na urasimishaji wa eneo la Nyakasangwe na Nakalekwa watakuwepo hapo kwa siku 10. Lengo ni kurahisishwa mchakato wa wananchi wanaohitaji kumilikishwa hati ya ardhi rasmi, kupata haki hiyo bila usumbu”

No comments:
Post a Comment