Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, (CF) Billy Mwakatage, akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa
kupokea msaada wa boti ya maokozi uliotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia
Mji wa Hamburg.
Kiongozi wa Kikosi cha Wazamiaji majini wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Stesheni Sajini Saidi Sekibojo, akitoa
maelezo jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumiwa na wazamiaji wanapotekeleza
majukumu yao katika uokoaji majini, wakati wa kupokea msaada wa boti ya maokozi
uliotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Mjini wa Hamburg.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, (CF) Billy Mwakatage, akiwa kwenye picha ya pamoja na askari wa kikosi
cha uzamiaji majini cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kinachoongozwa na Stesheni
Sajini Saidi Sekibojo, wakati wa kupokea msaada wa boti ya maokozi uliotolewa
na Serikali ya Ujerumani kupitia Mjini wa Hamburg.
Boti ya maokozi iliyotolewa msaada na Nchi ya
Ujerumani kupitia Mji wa Hamberg kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji itakayo
saidia katika shughuli ya uokoaji majini. Picha na Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji.
No comments:
Post a Comment