Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein walipokutana Ikulu jijini
Dar es salaam leo Machi 19, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt Ali Mohamed Shein wakiagana baada ya mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017.
No comments:
Post a Comment