Mwenyekii wa Kamati ya Kudumu ya Ardhi ,Maliasili
na Utalii,Atashasta Ndetiye (katikati) akiongozana na wajumbe wengine wa kamati
hiyo kutizama vyanzo vya maji vilivyoko katika Pori Tengefu la Loliondo.
Waziri wa Malisili na Utalii ambaye pia ni mjumbe
wa kamati hiyo,Prof Jumanne Maghembe akiongozana na wataalamu katika ziara ya
kamati hiyo.
Mtafiti Mkuu wa Idara ya Ikolojia (TAWIRI) Dkt
Edward Khoi akitoa maelezo ya kitaalamu kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya
Ardhi,Malisili na Utalii wakati wakitembela Pori tengefu la Loliondo.
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wakifuatilia maelezo kutoka kwa wataalamu wa Ikolojia na Uhifadhi.
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti,William
Mwakilema akiwaeleza wajumbe w kamati hiyo madhara yatakayojitokea endapo eneo
la Pori Tengefu la Loliondo halita hifadhiwa.
Moja ya Makundi ya Ng’ombe yaliyokutwa na Kamati
hiyo katika Pori Tengefu la Loliondo.
Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Malisili na Utaalii,ukipita kwa tabu kwenye Barabara ndani ya Pori
Tengefu la Loliondo kwa ajili ya kujionea hali halisi ya mgogoro uliopo katika
eneo hilo.
Sehemu ya Makundi ya Mifugo pamoja na Mashamba
yaliyopo katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo.
No comments:
Post a Comment