Mashine
zinazotumiwa na kiwanda cha Afro African Company kuzalisha pombe kali aina ya
viroba pamoja na kutengenezea vifungashio vya plastiki vya kufungashia pombe
hizo.
Baadhi
ya maboksi yaliyokutwa kiwandani hapo
ambapo ndani yake tayari kumejazwa pombe za aina mbalimbali aina ya viroba
tayari kwa kuingizwa sokoni.
Mwanasheria
wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira NEMC , Heche Suguti akiwaonyesha waandishi
wa habari aina mojawapo ya pombe kali (kiroba) inayozalishwa na kampuni
hiyo pasipo kufuata kanuni za TFDA na wala
haikuwekwa stika kuweka stika za TRA.
Mkurugenzi
wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Muyungi akimuhoji mmoja
wa Wamiliki wa kiwanda cha Afro African Company kilichopo Mwenge jijini Dar es
Salaam ambao ni wazalishaji na watengenezaji wa pombe mbalimbali aina ya
viroba. Ofisi ya Makamu wa Raisi inaongoza uendeshaji wa ukaguzi wa viwanda
vyote jijini Dar es Salaam vinavyozalisha na kutengeneza pombe kali(viroba)
na kufunga kwa vifungashio vya plastiki.
No comments:
Post a Comment