Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Ng’apa mara baada ya kutembelea mradi wa Maji wa eneo hilo ambao
unasuasua kukamilika. Rais Dkt. Magufuli ametoa miezi minne kwa Mkandarasi
kampuni ya Overseas Infrastructure Alliance Private Limited ya India
kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa mradi huo na sio kuleta visingizio.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa
Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge kuhakikisha kuwa Mradi wa Maji wa Ng’apa
uliopo mkoani Lindi unakamilika ndani ya miezi mine na si vinginevyo.
Sehemu
ya Mradi wa Maji wa Ng’apa mkoani Lindi ambao Rais Dkt. Magufuli ametoa miezi
minne kwa mkandarasi anayejenga mradi huo ili uweze kukamilika haraka. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment