SERIKALI YANUNUA MTAMBO MPYA WA KUTAMBUA KEMIKALI KWENYE MIGODI.
Mkemia
Mkuu wa Serikali , Profesa Samwel Manyelle akizungumza na waandishi wa habari
leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na ununuzi wa mtambo mpya wa kisasa
aina ya Energy Dispersive X Ray Fluorescence (EDXRF) kwa ajili ya uchunguzi wa
kimaabara wa kutambua aina na kiasi cha madini (Metals) kwenye migodi.
Timu
ya Waandishi wa habari wakifuatilia mazungumzo hayo.
Comments
Post a Comment