SHIRIKA la
Umeem Tanzania, (TANESCO), linawataarifu
wateja wake na umma kwa ujumla kuwa Jumapili Machi 19, 2017 kuanzia saa 4 usiku.

mfumo wa ununuzi wa umeme kupitia LUKU utazimwa hadi Jumatatu Machi 20, 2017.
Taarifa ya
TANESCO iliyotolewa leo Machi 17, 2017 na
kusambazwa kwa vyombo vya habari imesema, lengo kuboresha mfumo huo wa LUKU katika kuhifadhi taarifa za Wateja, (Database).

Taarifa
hiyo iliyotolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO
Makao Makuu pia imesema uboreshwaji wa mfumo huo utasaidia katika manunuzi ya umeme kupitia LUKU.

Aidha
TANESCO imewaomba Wananchi hususan wateja wake ,
kufanya manunuzi ya LUKU ya kutosha kabla ya saa 4 usiku, Jumapili, na
inawaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

No comments:
Post a Comment